Ufafanuzi wa kiowevu katika Kiswahili

kiowevu, kirowevu, uowevu

nominoPlural viowevu

  • 1

    kitu cha majimaji k.v. maji, maziwa, damu au pombe kinachomiminika.

Matamshi

kiowevu

/kiOwɛvu/