Ufafanuzi wa kipaku katika Kiswahili

kipaku

nomino

  • 1

    baka

  • 2

    doa lililopo kwenye mnyama au ndege.

Matamshi

kipaku

/kipaku/