Ufafanuzi wa kipamkono katika Kiswahili

kipamkono

nominoPlural vipamkono

  • 1

    ada au zawadi anayotoa bwana harusi kumpa bibi harusi.

    jazua, kipakasa

Matamshi

kipamkono

/kipamkOnO/