Ufafanuzi wa kipapai katika Kiswahili

kipapai

nomino

  • 1

    uchawi unaoaminiwa kuwa humtokomeza mtu au kumhamisha.

Matamshi

kipapai

/kipapaji/