Ufafanuzi wa kiparamoto katika Kiswahili

kiparamoto

nominoPlural viparamoto

  • 1

    kinyago kinachotumika wakati wa kucheza kwenye giza.

Matamshi

kiparamoto

/kiparamOtO/