Ufafanuzi wa kipasuo katika Kiswahili

kipasuo

nominoPlural vipasuo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    konsonanti ambayo hutamkwa kwa kubana kabisa hewa na kisha kuiachia ghafula.

  • 2

    Sarufi
    namna ya utamkaji wa konsonanti kwa kubana mkondo wa hewa na kisha kuachiwa ghafla.

Matamshi

kipasuo

/kipasuwO/