Ufafanuzi msingi wa kipengee katika Kiswahili

: kipengee1kipengee2

kipengee1

nomino

  • 1

    njia au maarifa ya kujiepusha na jambo au lawama; udhuru wa kukatalia lawama.

    ujanja, mbinu

Ufafanuzi msingi wa kipengee katika Kiswahili

: kipengee1kipengee2

kipengee2

nomino

  • 1

    jambo au wazo mojawapo katika mada inayojadiliwa; mkabala wa jambo au wazo.

    ‘Amelizungumzia somo katika kila kipengee chake’

Matamshi

kipengee

/kipɛngɛ:/