Ufafanuzi msingi wa kipepeo katika Kiswahili

: kipepeo1kipepeo2kipepeo3

kipepeo1

nominoPlural vipepeo

 • 1

  kitu cha kupepea, agh. kilichotengenezwa na k.v. kindu au karatasi, kinachopepewa ili kilete upepo au ubaridi.

Matamshi

kipepeo

/kipɛpɛwO/

Ufafanuzi msingi wa kipepeo katika Kiswahili

: kipepeo1kipepeo2kipepeo3

kipepeo2

nominoPlural vipepeo

 • 1

  samaki mpana mwenye umbo la duara, rangi za mchanganyiko na mapezi ya nyuma mapana.

Matamshi

kipepeo

/kipɛpɛwO/

Ufafanuzi msingi wa kipepeo katika Kiswahili

: kipepeo1kipepeo2kipepeo3

kipepeo3

nominoPlural vipepeo

 • 1

  mdudu mwenye umbo jembamba na mbawa pana zenye rangi mbalimbali na hupendelea kutua kwenye maua.

  popo

Matamshi

kipepeo

/kipɛpɛsi/