Ufafanuzi wa kipeuo katika Kiswahili

kipeuo

nomino

  • 1

    namba ambayo ikizidishwa mara yenyewe kwa kiasi kilichotajwa hupata kiasi kamili k.m. 4 ni kipeuo cha 16 = 4 × 4.

Matamshi

kipeuo

/kipɛwuwO/