Ufafanuzi msingi wa kipia katika Kiswahili

: kipia1kipia2kipia3

kipia1

nominoPlural vipia

 • 1

  sehemu juu ya mlima au ngome.

Matamshi

kipia

/kipija/

Ufafanuzi msingi wa kipia katika Kiswahili

: kipia1kipia2kipia3

kipia2

nominoPlural vipia

 • 1

  magome au majani yanayotumika kutilia rangi mishipi na nyavu ili kuziimarisha.

  mpesi, mkasiri

Matamshi

kipia

/kipija/

Ufafanuzi msingi wa kipia katika Kiswahili

: kipia1kipia2kipia3

kipia3

nominoPlural vipia

 • 1

  aina ya samaki jamii ya bunju.

  ‘Bunju kipia’

Matamshi

kipia

/kipija/