Ufafanuzi wa kipimahewa katika Kiswahili

kipimahewa

nominoPlural vipimahewa

  • 1

    kifaa cha kupimia shinikizo la hewa iliyo angani.

Matamshi

kipimahewa

/kipimahɛwa/