Ufafanuzi wa kipimamvua katika Kiswahili

kipimamvua

nominoPlural vipimamvua

  • 1

    chombo cha kupimia kiasi cha mvua iliyonyesha.

Matamshi

kipimamvua

/kipimamvuwa/