Ufafanuzi wa kipimautego katika Kiswahili

kipimautego

nominoPlural vipimautego

  • 1

    chombo cha kupimia umbali katika bunduki.

Matamshi

kipimautego

/kipimautɛgɔ/