Ufafanuzi msingi wa kipindi katika Kiswahili

: kipindi1kipindi2

kipindi1

nominoPlural vipindi

 • 1

  muda maalumu na wa kiwango fulani.

  ‘Kipindi cha somo’
  ‘Kipindi cha sala’

Matamshi

kipindi

/kipindi/

Ufafanuzi msingi wa kipindi katika Kiswahili

: kipindi1kipindi2

kipindi2

nominoPlural vipindi

 • 1

  mnyama aliyekufa kifo cha kawaida.

  mzoga

Matamshi

kipindi

/kipindi/