Ufafanuzi wa kipindi cha mpito katika Kiswahili

kipindi cha mpito

  • 1

    kipindi cha mabadiliko ambacho mtu au jamii inatoka kwenye kipindi kimoja chenye utaratibu fulani na kujiandaa kuingia kwenye kipindi kingine chenye utaratibu tofauti.