Ufafanuzi wa kipingo katika Kiswahili

kipingo

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kikono cha kukazia kamba ya nanga au ya kutwekea tanga iliyotiwa katika roda.

Matamshi

kipingo

/kipingÉ”/