Ufafanuzi wa kipira katika Kiswahili

kipira

nominoPlural vipira

  • 1

    randa ya kuviringa duara.

  • 2

    mviringo unaotokana na kupigwa randa ya kuviringa.

Matamshi

kipira

/kipira/