Ufafanuzi wa kipofu katika Kiswahili

kipofu

nominoPlural vipofu

  • 1

    mtu asiyeona kutokana na kuugua, ajali au kuzaliwa hivyo.

Matamshi

kipofu

/kipOfu/