Ufafanuzi wa kipozamataza katika Kiswahili

kipozamataza

nominoPlural vipozamataza

  • 1

    ndege jamii ya shore mwenye rangi ya kahawia na nyekundu, madoa meusi mgongoni na kifuani, warukapo hufanya sauti kubwa za ‘brrrr, brrrr’ hewani.

Matamshi

kipozamataza

/kipOzamataza/