Ufafanuzi wa kipunguo katika Kiswahili

kipunguo

nominoPlural vipunguo

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba zilizoshonwa mshadhari kwenye tanga lililosukwa kwa matepe kwa ajili ya kutia nguvu.

Matamshi

kipunguo

/kipunguwɔ/