Ufafanuzi wa kipupwe katika Kiswahili

kipupwe

nominoPlural vipupwe

  • 1

    majira ya baridi, yanayotokea katika miezi ya Juni, Julai na Agosti katika Afrika ya Mashariki.

  • 2

    upepo wa majira hayo.

    hamatani

Matamshi

kipupwe

/kipupwɛ/