Ufafanuzi wa kiradi katika Kiswahili

kiradi

nominoPlural viradi

  • 1

    jina jumuishi kwa wanyama wa jamii ya nyani, tumbiri, sokwe, n.k..

Matamshi

kiradi

/kiradi/