Ufafanuzi wa kirai kielezi katika Kiswahili

kirai kielezi

nominoPlural virai kielezi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kikundi cha maneno ambacho neno lake kuu ni kielezi na hufanya kazi kama kielezi.

Matamshi

kirai kielezi

/kiraji kijɛlɛzi/