Ufafanuzi wa kiraka katika Kiswahili

kiraka

nominoPlural viraka

  • 1

    kipande k.v. cha kitambaa au ngozi kinachoshonwa ili kuziba mahali palipochanika.

Matamshi

kiraka

/kiraka/