Ufafanuzi wa kiranja katika Kiswahili

kiranja

nominoPlural viranja

 • 1

  kijana wa kwanza kutahiriwa jandoni.

  fumbi, chando

 • 2

  kiongozi wa wanafunzi shuleni.

  ‘Kiranja wa shule/darasa’

 • 3

  kiongozi wa jambo au kikundi.

Matamshi

kiranja

/kiranʄa/