Ufafanuzi wa kirekodisauti katika Kiswahili

kirekodisauti

nominoPlural virekodisauti

  • 1

    kifaa kinachotumiwa kurekodia sauti.

    tepurekoda

Matamshi

kirekodisauti

/kirɛkɔdisawuti/