Ufafanuzi wa kiri katika Kiswahili

kiri

kitenzi elekezi

  • 1

    kubali jambo au kosa ulilofanya.

    ‘Kiri kosa’
    ungama, kubali

Matamshi

kiri

/kiri/