Ufafanuzi wa kirimu katika Kiswahili

kirimu

kitenzi elekezi

  • 1

    karibisha mtu au watu kwa huduma nzuri k.v. malazi au chakula.

    ‘Tumkirimu mgeni’
    karibisha

Asili

Kar

Matamshi

kirimu

/kirimu/