Ufafanuzi wa kirinda katika Kiswahili

kirinda

nominoPlural virinda

  • 1

    vazi la kike livaliwalo ndani ya gauni na huanzia kiunoni kuteremkia chini.

    kishida, gagro

Matamshi

kirinda

/kirinda/