Ufafanuzi wa kirungu katika Kiswahili

kirungu

nomino

  • 1

    fimbo ndogo yenye nundu upande mmoja kama itumiwayo na askari polisi.

Matamshi

kirungu

/kirungu/