Ufafanuzi wa kirusu katika Kiswahili

kirusu

nominoPlural virusu

  • 1

    mchanganyiko wa kimea na makomba ambayo hutengenezwa pombe.

Matamshi

kirusu

/kirusu/