Ufafanuzi wa kirutubisho katika Kiswahili

kirutubisho, kirutubishi

nominoPlural virutubisho

  • 1

    kiini kinachopatikana katika chakula ambacho huwezesha viumbe kukua.

  • 2

    kiini kwenye chakula kinachofanya mwili wa binadamu kuwa na nguvu, joto na kuweza kukua.

Matamshi

kirutubisho

/kirutubiʃɔ/