Ufafanuzi msingi wa kisaa katika Kiswahili

: kisaa1kisaa2

kisaa1

nominoPlural visaa

  • 1

    nguo yoyote ya kuvaa au ya kujiambika.

Matamshi

kisaa

/kisa:/

Ufafanuzi msingi wa kisaa katika Kiswahili

: kisaa1kisaa2

kisaa2

nominoPlural visaa

  • 1

    kitu kilichobakia baada ya kutumiwa.

    sazo, ifu

Matamshi

kisaa

/kisa:/