Ufafanuzi wa kisabaluu katika Kiswahili

kisabaluu

nominoPlural visabaluu

  • 1

    mwanamke malaya.

    changudoa, kahaba

Matamshi

kisabaluu

/kisabalu:/