Ufafanuzi wa kisahani katika Kiswahili

kisahani

nominoPlural visahani

  • 1

    chombo kama sahani ndogo kinachotumiwa pamoja na kikombe ili kunywea chai.

  • 2

    kitu kizito chenye umbo kama sahani kinachotumiwa katika mojawapo ya michezo ya riadha.

Matamshi

kisahani

/kisahani/