Ufafanuzi wa kisango katika Kiswahili

kisango

nominoPlural visango

  • 1

    kibao cha kupigia ramli.

Matamshi

kisango

/kisangO/