Ufafanuzi wa kisawe katika Kiswahili

kisawe

nominoPlural visawe

  • 1

    moja kati ya maneno mawili au zaidi yanayokaribiana sana kimaana.

    sinonimu

Matamshi

kisawe

/kisawɛ/