Ufafanuzi wa kisengerenyuma katika Kiswahili

kisengerenyuma

nominoPlural visengerenyuma

  • 1

    tendo la kutembea kinyumenyume.

  • 2

    tendo la kurejelea tukio ambalo limepita.

Matamshi

kisengerenyuma

/kisengɛrɛ3uma/