Ufafanuzi wa kishada katika Kiswahili

kishada

nomino

  • 1

    tiara

  • 2

    kishuke cha matunda au maua.

Asili

Kar

Matamshi

kishada

/kiʃada/