Ufafanuzi wa kishamia katika Kiswahili

kishamia

nominoPlural vishamia

  • 1

    nguo ya kufunikia watu wanaofanya shughuli fulani k.v. kaburini wakati wa kuzika.

Matamshi

kishamia

/kiʃamija/