Ufafanuzi wa kishina katika Kiswahili

kishina

nominoPlural kishina

  • 1

    ngoma inayochezwa na wanawake Waswahili katika sherehe au msiba.

Matamshi

kishina

/kiʃina/