Ufafanuzi wa kisingizio katika Kiswahili

kisingizio

nomino

  • 1

    jambo au kitu kitumiwacho kujiepushia lawama.

Matamshi

kisingizio

/kisingizijO/