Ufafanuzi wa kisu katika Kiswahili

kisu

nominoPlural visu

  • 1

    kifaa, agh. kirefu, kilichotengenezwa kwa chuma au bati kilicho bapa na chenye makali upande mmoja kinachotumiwa kwa kukatia.

Matamshi

kisu

/kisu/