Ufafanuzi wa kisu cha uamu katika Kiswahili

kisu cha uamu

msemo

  • 1

    ada wapewayo binamu wa biharusi kwa sababu ya kuchukuliwa ndugu yao.