Ufafanuzi wa kisukio katika Kiswahili

kisukio

nomino

  • 1

    kifaa cha kupekechea maziwa ili kutoa mtindi.

Matamshi

kisukio

/kisukijÉ”/