Ufafanuzi wa kisukumi katika Kiswahili

kisukumi

nominoPlural visukumi

  • 1

    kitu kama kipele katika kisimi cha mwanamke ambacho yasemekana husababisha mume au watoto kufa.

    kigwaru, kinyakazi

Matamshi

kisukumi

/kisukumi/