Ufafanuzi msingi wa kisulisuli katika Kiswahili

: kisulisuli1kisulisuli2kisulisuli3

kisulisuli1

nominoPlural visulisuli

  • 1

    mdudu kama mbu mwenye rangi ya manjano na nyekundu na mstari unaosimama kama mwiro na ambaye anakula matawi ya pamba na pamba yenyewe.

Matamshi

kisulisuli

/kisulisuli/

Ufafanuzi msingi wa kisulisuli katika Kiswahili

: kisulisuli1kisulisuli2kisulisuli3

kisulisuli2

nominoPlural visulisuli

  • 1

    kizunguzungu, masua, kisunzi, gumbizi

Matamshi

kisulisuli

/kisulisuli/

Ufafanuzi msingi wa kisulisuli katika Kiswahili

: kisulisuli1kisulisuli2kisulisuli3

kisulisuli3

nominoPlural visulisuli

  • 1

    tiara isiyo na mkia.

Matamshi

kisulisuli

/kisulisuli/