Ufafanuzi msingi wa kita katika Kiswahili

: kita1kita2

kita1

kitenzi sielekezi

 • 1

  simamisha au dunga kitu kwa nguvu.

  ‘Kita mkuki’
  ‘Kita sindano’
  chomeka

Matamshi

kita

/kita/

Ufafanuzi msingi wa kita katika Kiswahili

: kita1kita2

kita2

kitenzi sielekezi

 • 1

  kuwa imara; simama imara.

  dinda, simika

Matamshi

kita

/kita/