Ufafanuzi wa kitabu katika Kiswahili

kitabu

nominoPlural vitabu

  • 1

    maandishi yaliyowekwa pamoja katika kurasa zilizoandikwa kwa mkono au zilizopigwa chapa na kupangwa kwa utaratibu maalumu na kutiwa jalada.

  • 2

    chuo

Matamshi

kitabu

/kitabu/