Ufafanuzi wa kitadali katika Kiswahili

kitadali

nominoPlural vitadali

  • 1

    mmea wenye majani mekundumekundu na kijani, yenye vishada vya maua ya manjano.

Matamshi

kitadali

/kitadali/